TFF ilipiga marufuku mmiliki mmoja kuwa na timu mbili

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Juni 05, 2016 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliikaa katika kikao chake cha kawaida cha 18.
Kamati ya Utendaji ilipitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana namna ya kuboresha mashindano mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Ligi Daraja la Kwanza ya Startimes, Ligi Daraja la Pili pamoja na Ligi ya Mabingwa wa Mkoa.
Kadhalika kamati iliangalia uendeshaji wa Ligi za vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 na Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) ambayo wiki iliyopita ilipata udhamini wa haki za kuonyeshwa kwenye televisheni kutoka kituo cha televisheni cha Azam.
Pia Kamati ya Utendaji ilipitisha azimio la kanuni ya leseni ya klabu kuwa ni lazima ianze kutumika msimu mpya wa mashindano wa 2016/17.

Pia klabu zinatakiwa kuwa na ofisi, Uwanja wa mazoezi, kuendeleza program ya vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma na na kwamba hakuna mmiliki mmoja anayeruhusiwa kuwa na timu zaidi ya moja katika ligi.

Nimeamua kuweka ufafanuzi huu wa kitaalamu ili kuweka kumbukumbu sawa kusaidia klabu yangu ya Simba SC kuwa makini katika uuzaji wa share zake. Katika mauzo ya share amejitokea mzee Bakheresa akishindana na kijana mwenye mapenzi mazito na klabu ya Simba Mo Dewji Simba.

Viongozi na wasomi wa timu Dr. Mihayo kuweni makini hapo huyu mzee Bakhera ana miliki Azam jambo ambalo sihitaji kulifafanua. Kamati itakayo chambua zabuni iangalie criteria muhumu kama hii
 
Acha mzee SSB aichukue simba,

Azam.ni timu ya kampuni tu, imesajiliwa kama kampuni sio ya mtu mmoja

Barkhresa GROUP COMPANY

humo kuna kampuni nyingi, ikiwepo hiyo azam team,

Hivo anakuja kuinunua simba, iwe binafsi
 
Naona kama Bakhresa huwa na mipango "tangible" kuliko Mo (Manji type) ambaye amekaa kiufadhili zaidi na sio kiundeshaji na uboreshaji wa timu.
 
kwakifupi katika watu wanaoipenda simba hakuna mwenye pesa kama mo

na katika watu wenye pesa hakuna anayeipenda simba kama mo

umeelewa?
 
sasa klabu yenu ipo sokoni, wanunuzi wanajitokeza mnawapiga fitna???
 
Juni 05, 2016 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliikaa katika kikao chake cha kawaida cha 18.
Kamati ya Utendaji ilipitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana namna ya kuboresha mashindano mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Ligi Daraja la Kwanza ya Startimes, Ligi Daraja la Pili pamoja na Ligi ya Mabingwa wa Mkoa.
Kadhalika kamati iliangalia uendeshaji wa Ligi za vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 na Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) ambayo wiki iliyopita ilipata udhamini wa haki za kuonyeshwa kwenye televisheni kutoka kituo cha televisheni cha Azam.
Pia Kamati ya Utendaji ilipitisha azimio la kanuni ya leseni ya klabu kuwa ni lazima ianze kutumika msimu mpya wa mashindano wa 2016/17.

Pia klabu zinatakiwa kuwa na ofisi, Uwanja wa mazoezi, kuendeleza program ya vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma na na kwamba hakuna mmiliki mmoja anayeruhusiwa kuwa na timu zaidi ya moja katika ligi.

Nimeamua kuweka ufafanuzi huu wa kitaalamu ili kuweka kumbukumbu sawa kusaidia klabu yangu ya Simba SC kuwa makini katika uuzaji wa share zake. Katika mauzo ya share amejitokea mzee Bakheresa akishindana na kijana mwenye mapenzi mazito na klabu ya Simba Mo Dewji Simba.

Viongozi na wasomi wa timu Dr. Mihayo kuweni makini hapo huyu mzee Bakhera ana miliki Azam jambo ambalo sihitaji kulifafanua. Kamati itakayo chambua zabuni iangalie criteria muhumu kama hii
Kama uliyoyaandika hapa ni sahihi basi mzee bakhresa anavigezo vya kuinunua simba maana azam fc ni ya yusuf na sio said
 
Kisheria kampuni na mmiliki wa kampuni ni watu wawili tofauti. Simba imeweka sharti kwamba lazima uwe mwanachama ili kuuziwa hisa. Bakheresa ni mwanachama wa simba. Azam FC inamilikiwa na Bakheresa Group of Companies na sio Bakheresa. Simba walifanya kosa kwa kuchukua fedha za MO wakidhani hatakuwa na mpinzani wakati hisa lazima zitangazwe na ziuzwe kwa njia ya ushindani. Wanachama wa Simba jiandaeni kwa yasiyotarajiwa.
 
Mo alijiona tajiri peke yake sasa ataishia kuiona simba ikimilikiwa na mtu mwingine.

Nadhani kina mzee kilomoni waliokuwa wanahoji issue ya Mo watakuwa wameusuka huu mpango
 
Ha ha ha kila la heri Simba, pambaneni ili mlibadilishe soka la bongo, simba ianze kuuza wachezaji moja kwa moja ulaya
 
Juni 05, 2016 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliikaa katika kikao chake cha kawaida cha 18.
Kamati ya Utendaji ilipitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana namna ya kuboresha mashindano mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Ligi Daraja la Kwanza ya Startimes, Ligi Daraja la Pili pamoja na Ligi ya Mabingwa wa Mkoa.
Kadhalika kamati iliangalia uendeshaji wa Ligi za vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 na Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) ambayo wiki iliyopita ilipata udhamini wa haki za kuonyeshwa kwenye televisheni kutoka kituo cha televisheni cha Azam.
Pia Kamati ya Utendaji ilipitisha azimio la kanuni ya leseni ya klabu kuwa ni lazima ianze kutumika msimu mpya wa mashindano wa 2016/17.

Pia klabu zinatakiwa kuwa na ofisi, Uwanja wa mazoezi, kuendeleza program ya vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma na na kwamba hakuna mmiliki mmoja anayeruhusiwa kuwa na timu zaidi ya moja katika ligi.

Nimeamua kuweka ufafanuzi huu wa kitaalamu ili kuweka kumbukumbu sawa kusaidia klabu yangu ya Simba SC kuwa makini katika uuzaji wa share zake. Katika mauzo ya share amejitokea mzee Bakheresa akishindana na kijana mwenye mapenzi mazito na klabu ya Simba Mo Dewji Simba.

Viongozi na wasomi wa timu Dr. Mihayo kuweni makini hapo huyu mzee Bakhera ana miliki Azam jambo ambalo sihitaji kulifafanua. Kamati itakayo chambua zabuni iangalie criteria muhumu kama hii
Boss mi nilijua zabuni inaambatanishwa na mpango mkakati, kwamba tukikuuzia utaendelezaje timu yetu! Halafu tunaangalia upi uliobora , halafu tunampa mwenye 'the best evaluated tender' hapo kwenye evaluation kunaangaliwa vipengele vyote ikiwemo legal issues!
 
Juni 05, 2016 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliikaa katika kikao chake cha kawaida cha 18.
Kamati ya Utendaji ilipitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana namna ya kuboresha mashindano mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Ligi Daraja la Kwanza ya Startimes, Ligi Daraja la Pili pamoja na Ligi ya Mabingwa wa Mkoa.
Kadhalika kamati iliangalia uendeshaji wa Ligi za vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 na Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) ambayo wiki iliyopita ilipata udhamini wa haki za kuonyeshwa kwenye televisheni kutoka kituo cha televisheni cha Azam.
Pia Kamati ya Utendaji ilipitisha azimio la kanuni ya leseni ya klabu kuwa ni lazima ianze kutumika msimu mpya wa mashindano wa 2016/17.

Pia klabu zinatakiwa kuwa na ofisi, Uwanja wa mazoezi, kuendeleza program ya vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma na na kwamba hakuna mmiliki mmoja anayeruhusiwa kuwa na timu zaidi ya moja katika ligi.

Nimeamua kuweka ufafanuzi huu wa kitaalamu ili kuweka kumbukumbu sawa kusaidia klabu yangu ya Simba SC kuwa makini katika uuzaji wa share zake. Katika mauzo ya share amejitokea mzee Bakheresa akishindana na kijana mwenye mapenzi mazito na klabu ya Simba Mo Dewji Simba.

Viongozi na wasomi wa timu Dr. Mihayo kuweni makini hapo huyu mzee Bakhera ana miliki Azam jambo ambalo sihitaji kulifafanua. Kamati itakayo chambua zabuni iangalie criteria muhumu kama hii
Mi naona kuna utofauti wa kumiliki timu na kumiliki hisa kwenye timu.....
Unakuta mtu mmoja kaweka hisa zake timu zaidi ya moja kwa wenzetu walioendelea.......
Maoni tu.
 
Back
Top Bottom