MAXY MUSAY
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 480
- 201
Hainunui simba bali ananunua hisa asilimia kadhaa.Acha mzee SSB aichukue simba,
Azam.ni timu ya kampuni tu, imesajiliwa kama kampuni sio ya mtu mmoja
Barkhresa GROUP COMPANY
humo kuna kampuni nyingi, ikiwepo hiyo azam team,
Hivo anakuja kuinunua simba, iwe binafsi
Labda 10%,25% n.k