TFF ilipiga marufuku mmiliki mmoja kuwa na timu mbili

TFF ilipiga marufuku mmiliki mmoja kuwa na timu mbili

Acha mzee SSB aichukue simba,

Azam.ni timu ya kampuni tu, imesajiliwa kama kampuni sio ya mtu mmoja

Barkhresa GROUP COMPANY

humo kuna kampuni nyingi, ikiwepo hiyo azam team,

Hivo anakuja kuinunua simba, iwe binafsi
Hainunui simba bali ananunua hisa asilimia kadhaa.
Labda 10%,25% n.k
 
Back
Top Bottom