TFF imeacha lini kuwaonea utopolo?

TFF imeacha lini kuwaonea utopolo?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Naona sasa hivi kimya hakuna malalamiko dhidi ya TFF.
Nimeanza kuona wakilalamikia CAF kuwa wako karibu na Mnyama kimchongo mchongo.

Ni lini TFF ya Karia imeacha kuwanyanyasa enyi utopolo mbona siku hizi hamlalamiki kuonewa?

Mna mengi ya kujifunza kwa Mnyama.Anawinda kimya kimya na anapata mawindo yake.Ninyi kitu kidogo tu kelele dunia nzima.Hivi sasa utadhani uto ndio wako club bingwa Afrika kumbe wanacheza kombe la luzaz na hawasemi
 
Sijui ni lini mashabiki wa makolo fc mtaacha kuiongelea yanga kuliko klabu yenu .
 
Tunaongoza league Simba ikiwa imara tumechukua trebble Simba ikiwa imara na tutachukua tena Simba ikiwa imara kwa wachezaji na uchumi halafu "Kuna mengi ya kujifunza"
 
Naona sasa hivi kimya hakuna malalamiko dhidi ya TFF.
Nimeanza kuona wakilalamikia CAF kuwa wako karibu na Mnyama kimchongo mchongo.

Ni lini TFF ya Karia imeacha kuwanyanyasa enyi utopolo mbona siku hizi hamlalamiki kuonewa?

Mna mengi ya kujifunza kwa Mnyama.Anawinda kimya kimya na anapata mawindo yake.Ninyi kitu kidogo tu kelele dunia nzima.Hivi sasa utadhani uto ndio wako club bingwa Afrika kumbe wanacheza kombe la luzaz na hawasemi
Yanga chupidi sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom