figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Shirikisho la soka nchini (TFF) limeviagiza vilabu vya Coastal Union na Yanga SC, kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wao waliojiuzulu.
Itakumbukwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji alijiengua kuitumikia klabu hiyo.
Itakumbukwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji alijiengua kuitumikia klabu hiyo.