TFF imeviagiza Vilabu vya Yanga na Coastal Union kufanya Uchaguzi

TFF imeviagiza Vilabu vya Yanga na Coastal Union kufanya Uchaguzi

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Shirikisho la soka nchini (TFF) limeviagiza vilabu vya Coastal Union na Yanga SC, kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wao waliojiuzulu.

Itakumbukwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji alijiengua kuitumikia klabu hiyo.
 
Back
Top Bottom