OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya.
Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za kufungiwa maisha kujihusisha na mpira. Ni mtu mfitini na mfitini ni mtu mbaya sana.