Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno kama haya alikua akitoa hata akiwa Simba..
Vumilia tu..au ujifunze kumpuuza..
Alivyokuwa anaropoka kule mikiani,mpaka anazunguka na CD mlikaa kimya kenge nyie. Mlivyo wanafiki
Vyovyote utakavyotaka iwe lakini wote Simba na Yanga akili zenu sawa tu. Mlikuwa mnamshangilia akitukana Leo kawageuka mnalialia, aliokuwa anawatukana wamempokea wanamtumia kama silaha dhidi yenu, unaona tofauti yoyote ya akili zenu?Kama aliyemsupport Haji kwa miaka kadhaa na sasa anampinga, anaitwa Bwege.
Je wale waliokuwa wakitukanwa na kukejeliwa na Haji kwa miaka kadhaa na sasa wamempokea kwenye Yanga na kuwa role model wao nao ni wapumbavu?
Hapana nakataa. Simba ilikuwa haina utamaduni wa kulalamika hata enzi za uwepo wa Haji. Alipokuwa Simba alikuwa na maneno ya kutamba. Ameenda Yanga sasa ana maneno ya kulalamika. Hivi Yanga si walikuwa wanatamba kwamba wao hawasingizii kupata CoVID19, iweje leo waseme walinyimwa kuahirisha?
Acha kutusemea,katika hiyo miaka 6 ya kutukanwa na haji sie tulimpuuza na ndio maana atukufikia kumdhihaki, kumnyanyapaa au hata kufikia hatua ya kutaka afungiwe while ile ndio kazi yake anayoendesha familia yake,na katika kuonyesha tulimpuuza na wala tulikua atuumi ndio maana tumempokea,shida iko kwa nyie mazuzu banchikicha makolo wazee wa b 85 kwa muda huu mfupi mmenyanyapaa haji kwa ngozi yake,msukule,choko,chawa n.k majina yote mmempa nyinyi na bado mnataka afungiwe!haji propagandist na aliwabrain wash makolo mkajiona level zenu ni za barca,r madrid n.k na mlivyo mazuzu mkamuamini while mbeya kwanza tu mnaifunga kwa msaada wa marefa,haji yuko Yanga amini hamna Yanga atakayeingia kwenye propaganda za haji kikubwa anatufurahisha na makolo mnaumia basi sie roho zetu nyeupeeKama aliyemsupport Haji kwa miaka kadhaa na sasa anampinga, anaitwa Bwege.
Je wale waliokuwa wakitukanwa na kukejeliwa na Haji kwa miaka kadhaa na sasa wamempokea kwenye Yanga na kuwa role model wao nao ni wapumbavu?
We jamaa uwa unajitoa ufahamu linapokuja swala la makolo,huyo alieweka tv hapo akilalamika kuonewa sio haji?
Nugaz ndo aliyemuita Haji Msukule, sasa mbona lawama kwa Simba SC?Acha kutusemea,katika hiyo miaka 6 ya kutukanwa na haji sie tulimpuuza na ndio maana atukufikia kumdhihaki, kumnyanyapaa au hata kufikia hatua ya kutaka afungiwe while ile ndio kazi yake anayoendesha familia yake,na katika kuonyesha tulimpuuza na wala tulikua atuumi ndio maana tumempokea,shida iko kwa nyie mazuzu banchikicha makolo wazee wa b 85 kwa muda huu mfupi mmenyanyapaa haji kwa ngozi yake,msukule,choko,chawa n.k majina yote mmempa nyinyi na bado mnataka afungiwe!haji propagandist na aliwabrain wash makolo mkajiona level zenu ni za barca,r madrid n.k na mlivyo mazuzu mkamuamini while mbeya kwanza tu mnaifunga kwa msaada wa marefa,haji yuko Yanga amini hamna Yanga atakayeingia kwenye propaganda za haji kikubwa anatufurahisha na makolo mnaumia basi sie roho zetu nyeupee
Quote Reply
Wewe mwarabu mbona unafokea watu kama umemeza wembe?Nugaz ndo aliyemuita Haji Msukule, sasa mbona lawama kwa Simba SC?
Acha Wenge, jibu nilivyokuuliza huwezi kaa kimya, usilete maalezo yaliyokorogeka hapa.
Unajua wewe Kabwili matendo yako yamekuharibu hata akili ndo maana nikikujibu unaanza kulialia kuwa nimekuzuia kutoa uharo wako JFWewe mwarabu mbona unafokea watu kama umemeza wembe?
Tuliza kishundu
Punguza hasira Barbra mudi ni wako tuUnajua wewe Kabwili matendo yako yamekuharibu hata akili ndo maana nikikujibu unaanza kulialia kuwa nimekuzuia kutoa uharo wako JF
Kwahivyo acha kunipotezea muda Punguani wa Akili.
Babu mbona kama wewe ndio una wenge,makolo yule haji msipopuuza mtateseka sana,jamaa kaajaliwa kipaji cha kukera so ukikereka nae kweli lazima ujue kama haujuiNugaz ndo aliyemuita Haji Msukule, sasa mbona lawama kwa Simba SC?
Acha Wenge, jibu nilivyokuuliza huwezi kaa kimya, usilete maalezo yaliyokorogeka hapa.
Mbona comments zipo kibao. Tulikuwa kazini sasa tumesoma uzi tayari kwa kuchangia hadi utashindwa kumaliza kuzisoma.Masaa Saba hakuna comment hata Moja, unajisikiaje?
Acha majungu
Hizo porojo na propaganda amefundishwa na Simba SC kwahivyo hakuna jipya zaidi ya Haji kupambana na Msukule, yaani yeye kujikana alokuwa akiongea.Babu mbona kama wewe ndio una wenge,makolo yule haji msipopuuza mtateseka sana,jamaa kaajaliwa kipaji cha kukera so ukikereka nae kweli lazima ujue kama haujui
Nyie hamnazo. Mnajitoa akili. Huku Yanga ,manara mbona ametulia sana. Mnajifanya mmesahau purukushani za manara akiwa mikiani?. Nyie ndio mlikuwa mnamshangilia hatari. Ilikuwa akitoka kuongea na waandishi wa habari,nyie chawa wake huku mitaani tulikuwa hatunywi maji. Na mashabiki mlivyo wengi mikiani hamnazo ilikuwa mnamzunguka kokote aendako. Na wenzenu walivumilia. Vumilieni tu sindano iwaingie panya nyie. Kumbe panauma?Hapana nakataa. Simba ilikuwa haina utamaduni wa kulalamika hata enzi za uwepo wa Haji. Alipokuwa Simba alikuwa na maneno ya kutamba. Ameenda Yanga sasa ana maneno ya kulalamika. Hivi Yanga si walikuwa wanatamba kwamba wao hawasingizii kupata CoVID19, iweje leo waseme walinyimwa kuahirisha?
makolo banchikicha mulibwanji,haji propaganda kasomea chuo cha ccm kigamboniHizo porojo na propaganda amefundishwa na Simba SC kwahivyo hakuna jipya zaidi ya Haji kupambana na Msukule, yaani yeye kujikana alokuwa akiongea.
Najua usingeweza kujibu lile suala hilo zaidi kusifia vitu visivyokuwa na maana..!
Narudia tena.. Inawezekanaje kwa kutukamwa na kukejeliwa kwa miaka kadhaa na leo huyo kuwa role model wako? Ni upumbavu ama?
Pia na wewe ni BWEGE kwani?.😀Kama aliyemsupport Haji kwa miaka kadhaa na sasa anampinga, anaitwa Bwege.
Je wale waliokuwa wakitukanwa na kukejeliwa na Haji kwa miaka kadhaa na sasa wamempokea kwenye Yanga na kuwa role model wao nao ni wapumbavu?
Masaa Saba hakuna comment hata Moja, unajisikiaje?
Acha majungu