OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ana kweli Nyani haoni kundule.
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya.
Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za kufungiwa maisha kujihusisha na mpira. Ni mtu mfitini na mfitini ni mtu mbaya sana.
Maneno kama haya alikua akitoa hata akiwa Simba..
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya.
Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za kufungiwa maisha kujihusisha na mpira. Ni mtu mfitini na mfitini ni mtu mbaya sana.
Nyani wapi? Wale wa Luc Eymael? Ebu kuwa muwazi basi!Ana kweli Nyani haoni kundule.
Mtoa post bwege flan,miaka 6 alikua anamsapoti haji kwa haya haya anayoyafanya sasa,miezi 6 tu against him anaamlisha afungiwe!haji alibadilika lini hadi miaka 6 iliyopita awe mzuri then leo hii watake afungiwe,makolo wanafiki sanaMasaa Saba hakuna comment hata Moja,unajisikiaje?
Acha majungu
Jenga hoja afungiwe kwa kuvunja kanuni, katiba ya TFF na sheria ipi ya michezo?
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya.
Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za kufungiwa maisha kujihusisha na mpira. Ni mtu mfitini na mfitini ni mtu mbaya sana.
Kumbe nawe Ni mmoja wao?Nyani wapi? Wale wa Luc Eymael? Ebu kuwa muwazi basi!
Hicho ndicho umeona cha maana cha kucomment😳Masaa Saba hakuna comment hata Moja,unajisikiaje?
Acha majungu
🤣🤣🤣🤣🤣Shobo za Manara zilitukera sana.Sasa ni zamu yao.Watulie dawa iingieMasaa Saba hakuna comment hata Moja,unajisikiaje?
Acha majungu
Kwani hoja yake hapo ni uongo ?!.
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya.
Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za kufungiwa maisha kujihusisha na mpira. Ni mtu mfitini na mfitini ni mtu mbaya sana.
Kama aliyemsupport Haji kwa miaka kadhaa na sasa anampinga, anaitwa Bwege.Mtoa post bwege flan,miaka 6 alikua anamsapoti haji kwa haya haya anayoyafanya sasa,miezi 6 tu against him anaamlisha afungiwe!haji alibadilika lini hadi miaka 6 iliyopita awe mzuri then leo hii watake afungiwe,makolo wanafiki sana
Chawa hiloMtu mzima unaweka Profile Pic ya mwanaume mwenzako unajiskiaje?