TFF inapaswa kumchukulia hatua zaidi mchezaji wa Tanzania Prison aliyetolewa kwa kadi nyekundu dhidi ya Simba

Nimerudia kuangalia tena rafu ile ya kishamba aliyocheza yule mchezaji, nimejiridhisha kwamba kadi nyekundu pekee haitoshi , yule mchezaji anastahili adhabu zaidi, ikibidi hata kufungiwa michezo kadhaa.

Hili likifanyika litaongeza nidhamu kwa wachezaji wengine, haiwezekani tukaacha wachezaji wacheze kijinga vile kisa wanatokea kwenye timu za Majeshi , soka na gwaride au Parade za maadhimisho fulani havifungamani.
Watu ninaowaheshimu wakiandika chini ya kiwango huwa sichangii.
 
Nimerudia kuangalia tena rafu ile ya kishamba aliyocheza yule mchezaji, nimejiridhisha kwamba kadi nyekundu pekee haitoshi , yule mchezaji anastahili adhabu zaidi, ikibidi hata kufungiwa michezo kadhaa.

Hili likifanyika litaongeza nidhamu kwa wachezaji wengine, haiwezekani tukaacha wachezaji wacheze kijinga vile kisa wanatokea kwenye timu za Majeshi , soka na gwaride au Parade za maadhimisho fulani havifungamani.
Uko sahihi kabisa,
Just Red Card hapo ni adhabu ndogo sana, yule alidhamiria kumuumiza Mzamiru
 
Simba sc sio timu ya kwanza ku-draw wewe kidimbwi
watu wapo pungufu mnazurula uwanjani,arafu mnakuja kulialia hapa,yule kipa wenu utadhani alikuwa anarukia kumbikumbi,kitim Cha domo domo hiki bwana,kinachowachanganya nyinyi ndio mlihaha haswa kutafuta droo,mbavu Sana.
 
Nyie vidimbwi polisi mpaka anasawazisha mpaka mnafukuza benchi la ufundi mlikuwa idadi sawa ya wachezaji au ndiyo akili zenu kama alivyosema Eymael na bahati nzuri baada ya Fifa kufatilia historia yenu wakamfutia adhabu
 
Back
Top Bottom