Watu ninaowaheshimu wakiandika chini ya kiwango huwa sichangii.Nimerudia kuangalia tena rafu ile ya kishamba aliyocheza yule mchezaji, nimejiridhisha kwamba kadi nyekundu pekee haitoshi , yule mchezaji anastahili adhabu zaidi, ikibidi hata kufungiwa michezo kadhaa.
Hili likifanyika litaongeza nidhamu kwa wachezaji wengine, haiwezekani tukaacha wachezaji wacheze kijinga vile kisa wanatokea kwenye timu za Majeshi , soka na gwaride au Parade za maadhimisho fulani havifungamani.
Mkuu kwani wewe ni Yanga ? tusameheane sana mjomba , vita havina machoWatu ninaowaheshimu wakiandika chini ya kiwango huwa sichangii.
Tabia za hovyo hata morrison anazo, anapenda kupiga wenzake viwikoHizi team za majeshi wanacheza mpira kama vita, ref jkt tz, prison jana...
Lakini mimi ni shabiki wa simba kindaki ndaki siwezi kusema uongo.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kabisa,Nimerudia kuangalia tena rafu ile ya kishamba aliyocheza yule mchezaji, nimejiridhisha kwamba kadi nyekundu pekee haitoshi , yule mchezaji anastahili adhabu zaidi, ikibidi hata kufungiwa michezo kadhaa.
Hili likifanyika litaongeza nidhamu kwa wachezaji wengine, haiwezekani tukaacha wachezaji wacheze kijinga vile kisa wanatokea kwenye timu za Majeshi , soka na gwaride au Parade za maadhimisho fulani havifungamani.
watu wapo pungufu mnazurula uwanjani,arafu mnakuja kulialia hapa,yule kipa wenu utadhani alikuwa anarukia kumbikumbi,kitim Cha domo domo hiki bwana,kinachowachanganya nyinyi ndio mlihaha haswa kutafuta droo,mbavu Sana.Simba sc sio timu ya kwanza ku-draw wewe kidimbwi
Nyie vidimbwi polisi mpaka anasawazisha mpaka mnafukuza benchi la ufundi mlikuwa idadi sawa ya wachezaji au ndiyo akili zenu kama alivyosema Eymael na bahati nzuri baada ya Fifa kufatilia historia yenu wakamfutia adhabuwatu wapo pungufu mnazurula uwanjani,arafu mnakuja kulialia hapa,yule kipa wenu utadhani alikuwa anarukia kumbikumbi,kitim Cha domo domo hiki bwana,kinachowachanganya nyinyi ndio mlihaha haswa kutafuta droo,mbavu Sana.