Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Watu tumesafiri kufata derby
Tumelipia ving'amuzi
Tumelipia tiketi ya mechi
Tumesafirisha michepuko
Tumewaandaa watoto wetu waone derby
Tumebet pesa zetu
TFF mkishirikiana na GSM mmeamua kuvuruga mechi makusudi ili mfaidike, mvimbishe matumbo yenu.
Kwani mgesubiri derby ipite mkaleta mabango ya GSM mngepungukiwa nini?
Itoshe kusema mpira wetu unaongozwa na watu WAPUMBAVU mno, kunafanyika mambo ya aibu sana kwenye soka letu.
Ikumbukwe mlisema mkataba unahusu TFF na GSM vipi leo mnalazimisha klabu zihusike? Na mlichimba mkwara mzito kua mkataba usijadiliwe!
Na nyie GSM mmeshindwa kuifanya yanga kua imara mnakuja kuharibu mpira tena, mliahidi Yanga asipokua bingwa muulizwe nyie mkashindwa leo mmeona mtumie fedha kuharibu mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app