kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo.
Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM, tunamuona Barbara CEO wa simba akitupa kadi ya mwaliko wa VVIP kwenye mechi ya simba vs yanga huku akifanya fujo mbele za watu kuidhalilisha TFF. Yaani kajiona mkubwa kuliko TFF.
TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira. Mbwa sasa anaawafuata hadi msikitini. Viongozi wa TFF wanashabikia timu zao badala ya kufuata kanuni zote za mpira kama zilivyo TFF, Cecafa, CAF na FIFA. Wanadharaulika sasa na thamani yao inafahamika sasa.
Eti timu inamkataa mdhamini aliyeletwa na mwenye mpira wake, TFF, umeona wapi hapa duniani ikitokea hii? TFF wanaonekana wepesi sana na watu wetu. Hii inaharibu mpira wetu kwakuwa INA set presidency kwa timu nyingine kwenye ligi.