Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 13, 2024 #41 MwananchiOG said: We kolo akili sijui umehamishia matakoni π kwa hiyo unaposikia mchezaji yupo sokoni, kauzwa, kanunuliwa unajua wanacheza rhumba sio? Click to expand... Na ww usituchoshe..mlimsajili? Siku yenu mlimtambulisha kama mchezaji wenu?
MwananchiOG said: We kolo akili sijui umehamishia matakoni π kwa hiyo unaposikia mchezaji yupo sokoni, kauzwa, kanunuliwa unajua wanacheza rhumba sio? Click to expand... Na ww usituchoshe..mlimsajili? Siku yenu mlimtambulisha kama mchezaji wenu?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 13, 2024 #42 MwananchiOG said: Sasa hilo swali wa kuulizwa ni Yanga au mhusika?? Alama 6 zinapaswa kukatwa kwa timu iliyomchezesha mchezaji ambaye ni mali ya timu nyingine Click to expand... Kaa hapo ukisubiri labda kukatwa maji sio point...
MwananchiOG said: Sasa hilo swali wa kuulizwa ni Yanga au mhusika?? Alama 6 zinapaswa kukatwa kwa timu iliyomchezesha mchezaji ambaye ni mali ya timu nyingine Click to expand... Kaa hapo ukisubiri labda kukatwa maji sio point...
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Sep 13, 2024 #43 MwananchiOG said: Sasa hilo swali wa kuulizwa ni Yanga au mhusika?? Alama 6 zinapaswa kukatwa kwa timu iliyomchezesha mchezaji ambaye ni mali ya timu nyingine Click to expand... Tarehe mliyo Msajiri illikuwa ndani ya Muda muliofungiwa na FIFA kusajiri. Endeleeni kuongea hiyo habari
MwananchiOG said: Sasa hilo swali wa kuulizwa ni Yanga au mhusika?? Alama 6 zinapaswa kukatwa kwa timu iliyomchezesha mchezaji ambaye ni mali ya timu nyingine Click to expand... Tarehe mliyo Msajiri illikuwa ndani ya Muda muliofungiwa na FIFA kusajiri. Endeleeni kuongea hiyo habari