TFF itoe adhabu kali kwa Simba kwa kumchezesha mchezaji wa timu nyingine, Singida FG na kagoma waadhibiwe kwa udanganyifu

TFF itoe adhabu kali kwa Simba kwa kumchezesha mchezaji wa timu nyingine, Singida FG na kagoma waadhibiwe kwa udanganyifu

We kolo akili sijui umehamishia matakoni 😂 kwa hiyo unaposikia mchezaji yupo sokoni, kauzwa, kanunuliwa unajua wanacheza rhumba sio?
Na ww usituchoshe..mlimsajili? Siku yenu mlimtambulisha kama mchezaji wenu?
 
Sasa hilo swali wa kuulizwa ni Yanga au mhusika?? Alama 6 zinapaswa kukatwa kwa timu iliyomchezesha mchezaji ambaye ni mali ya timu nyingine
Kaa hapo ukisubiri labda kukatwa maji sio point...
 
Sasa hilo swali wa kuulizwa ni Yanga au mhusika?? Alama 6 zinapaswa kukatwa kwa timu iliyomchezesha mchezaji ambaye ni mali ya timu nyingine
Tarehe mliyo Msajiri illikuwa ndani ya Muda muliofungiwa na FIFA kusajiri.
Endeleeni kuongea hiyo habari
 
Back
Top Bottom