Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa alipaswa kumpa kadi kwanza mchezaji wa Niger aliemuumiza Manula ndo amalize mpira. Refa yule ana roho ya shetani alituchukia saana Taifa StarsManula akiwa chini kalala kwa maumivu refarii aliuchukua mpira kutoka kwa kipa na kupuliza kipenga cha kumaliza mpira hii imekaaje?
Mchezaji anaekaa benchi kwenye timu bora ni bora kuliko anaeanza kwenye timu za kawaida. Wachezaji kibao wanao kaa benchi pale Al ahly ni bora kuliko wanaoanza kwenye klabu ya Simba au Yanga.Unajiona umeongea ponti kumbe umeandika utumbo hapa.
😄😄😄😄😄Kumbe taifa stars bado ipo.
Watu mna moyo sana kuifuatilia hii timu
Kwa iyo Niger ni timu kubwa kuliko Tanzania?? Chukua hiyo kula akili ikae sawa [emoji529][emoji529][emoji529]Uchezeshaji ule ndio wanaochezeshewa timu ndogo ndogo zinapokutana na Simba au Yanga NBC
Kwa iyo Niger ni timu kubwa kuliko Tanzania?? Chukua hiyo kula akili ikae sawa [emoji529][emoji529][emoji529]
Mkuu kuna utimamu wa mchezo piaHuna point. Kukaa benchi kwenye klabu uliopo haimaanishi huna kiwango kuliko wanaonza klabu nyingine. Vile vile kutokuwa na timu sio sababu ya kutoitwa timu ya taifa.
Haikuwa sawa ila haikuwa na madhara kwakuwa muda ulishaisha.Manula akiwa chini kalala kwa maumivu refarii aliuchukua mpira kutoka kwa kipa na kupuliza kipenga cha kumaliza mpira hii imekaaje?
Tukubali kitu kimoja wachezaji wetu hawana nidhamu.Hasa wale waliozoea sifa za wachambuzi wa Mchongo.Refa alipaswa kumpa kadi kwanza mchezaji wa Niger aliemuumiza Manula ndo amalize mpira. Refa yule ana roho ya shetani alituchukia saana Taifa Stars
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo unataka kusema nnUchezeshaji ule ndio wanaochezeshewa timu ndogo ndogo zinapokutana na Simba au Yanga NBC
Kwa mchezaji anaekaa benchi anapata fitness kupitia training, kwa mchezaji hasie na klabu anaweza pata fitness kwa kufanya training na klabu yoyote atakayo omba.Mkuu kuna utimamu wa mchezo pia
Unaweza ukawa na kiwango kizuri ila match fitness doro
Kumbe na wewe umemuonaaa.....nimdeadly jooo!!! Atatu- destroyyule jamaa hatari sana
Akili zako unqzijua mwenyewe+Mchezaji anaekaa benchi kwenye timu bora ni bora kuliko anaeanza kwenye timu za kawaida. Wachezaji kibao wanao kaa benchi pale Al ahly ni bora kuliko wanaoanza kwenye klabu ya Simba au Yanga.
Kuitwa timu ya taifa bila kuwa na klabu sio kitu kigeni. Kama huelewi vitu vidogo kama hivi bora ushabikie rede.