TFF iwaandikie barua CAF kupinga kuchezeshwa mechi zetu za Afcon qualifier na waamuzi wabovu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo unataka kusema nn
Tuvumilie na cc kwa sababu simba au yanga akitanguliwa kufungwa,basi utaona refa anachangamka sana hapo tegemea kadi za njano nyingi,penalty na nyekundu kwa timu ndogo wakati wowote. Hii inapelekea wachezaji wetu wakubwa kuwa utopolo(lialia)uwanjani kwenye game tough
 
Popoma na ID nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…