TFF Jipangeni kuanza kupokea lawama kutoka kwa Malalamiko FC

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Natabiri lawama ya kwanza kabisa itakuwa hii:-
TFF kwanini imeweka ngao ya hisani kugombaniwa na timu nne. Wameona kila mwaka tunabeba sisi wakaamua kuleta hujuma.

Baada ya lawama hiyo , lawama zinazifata ni za ratiba, marefa na viporo! Niko palee nimekaa
 
Mbona kama unalalamika ki style

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
UTOPOLO hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Awali ya yote kwanza tuambiwe je GSM pesa anazo au zimekata? Maana watu hawachelewi kulalamika GSM wananunua timu pinzani, mara GSM anafanya timu fulani ikamiwe
 
Kitendo alichokifanya tunda man kina nipa wasi wasi sana sijui nani huwa anamualika yule mjinga mwaka jana katia gundu na mwaka huu pia ngoja tuone matokeo yke.
 
Awali ya yote kwanza tuambiwe je GSM pesa anazo au zimekata? Maana watu hawachelewi kulalamika GSM wananunua timu pinzani, mara GSM anafanya timu fulani ikamiwe
Mnunue timu kwa hela gan mliyonayo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…