Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga.
Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya tukio (probable consequences) la fainali kubwa kama hiyo kufanyika kwenye uwanja mdogo kama ule na bado mnataka watu wakashuhudie. Nitawaelewa kama mtazuia kabisa mashabiki kwenda Manyara, lakini kama mtauza tiketi na kuzitaka timu zihamasishe mashabiki wakazishangilie, mtaua watu.
NI akili ndogo Sana mmetumia kuchagua uwanja ule utumike Kwa Mechi ya fainali.
Tunajua lengo ni kusambaza football nchi nzima, lakini hiki Kisingizio kisiwe chanzo cha maafa.
Bado mna wiki 2 za kusahisha makosa yenu, fanyeni hivyo Kwa mustakabali wa maisha ya Watanzania.