Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
- Thread starter
- #21
Nani shukuru wote mlioniunga mkono kwenye hoja yangu. Hatimaye JF imeshinda Kwa hoja.TFF wameisikia na kuielewa concern yako Mkuu. Mechi ya CRDB Confederation Cup Azam vs Yanga sasa itapigwa katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar tarehe 02 Juni, 2024.