TFF, June 2 Mtaleta maafa Manyara.

TFF wameisikia na kuielewa concern yako Mkuu. Mechi ya CRDB Confederation Cup Azam vs Yanga sasa itapigwa katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar tarehe 02 Juni, 2024.
Hii si sawa. Crdbfc siyo ya muungano. Kupeleka fainal kwa wala urojo ni dharàu kubwa kwa watanganyika.
Fainali inastahili ipigwe kwa Mkapa.
 
Nani shukuru wote mlioniunga mkono kwenye hoja yangu. Hatimaye JF imeshinda Kwa hoja.
Hii Hoja ilianzishwa na Comràde Manara aka Ashura Cheupe, JF mmedandia tu treni kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…