Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team ndogo kama Mwadui.
Mwadui jana wameupiga mwingi sana wamekuja angushwa na rushwa katika mpira. Ilikuwa ile match angalau waondoke na point moja baada ya kukosa 3. Lakini zilifanyika figisu za ajabu sana.
Kwa namna hii Yanga itaendelea kubaki kuwa ni team mbovu WakubeBWA FC. au Middle Finger FC.