TFF, Karia na Serikali inaonekana kuihujumu Mwadui

TFF, Karia na Serikali inaonekana kuihujumu Mwadui

If you had a slight idea of what is meant of being in an 'offside position', you would have shut up! and put your ushabiki maandazi aside.

If you Google the playback, you will definitely find out that Kissila dribbled the ball closer to the goal line than any other players of both teams (except, of course, the Mwadui's skipper), before unleashing a timely cross pass that resulted into a third goal for Yanga.

By being closest to the goal line, Kissila 'killed' the offside trap. If you will observe soberly, even Mwadui players didn't dispute of a goal, for they knew it was a clear and tactic goal, lamenting was the best option for them.
Hawa viumbe ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu! Sheria za mpira hawazijui, kazi ni kulialia tu.
 
Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team ndogo kama Mwadui.

Mwadui jana wameupiga mwingi sana wamekuja angushwa na rushwa katika mpira. Ilikuwa ile match angalau waondoke na point moja baada ya kukosa 3. Lakini zilifanyika figisu za ajabu sana.

Kwa namna hii Yanga itaendelea kubaki kuwa ni team mbovu WakubeBWA FC. au Middle Finger FC.
Kama unaijua vizuri sheria ya kuotea, hebu tuambie nani kaotea hapo??

Screenshot_20210621-195636.png
 
Hawa viumbe ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu! Sheria za mpira hawazijui, kazi ni kulialia tu.
Luc Eymael akasema wanayanga ni Nyani na Mbwa. Hawana akili. Mkamfukuza. Wakati alisema kweli.
 
Back
Top Bottom