Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Aug 23, 2019 #21 Bila bila said: Kuna kocha anavaa shati moja mwaka mzima, ajiandae. Haiwezekani kocha wa timu ya ligi kuu anavaa kauka nikuvae..! Click to expand... Hahahaha Bora yule wa Pollo anaebadili pamba kila dakika
Bila bila said: Kuna kocha anavaa shati moja mwaka mzima, ajiandae. Haiwezekani kocha wa timu ya ligi kuu anavaa kauka nikuvae..! Click to expand... Hahahaha Bora yule wa Pollo anaebadili pamba kila dakika
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Aug 23, 2019 #22 Viol said: Mkuu lakini kwa akili ya kawaida locha utavaaje brand ta fly Emirates kwenye club unayofundisha inayodhaminiwa na sumsung? Click to expand... Ndiyo hapo nasema Yanga Ndiyo wamwambie tuna sponsors wa club. Pia tusisahau wachezaji na makocha wana sponsors wao.
Viol said: Mkuu lakini kwa akili ya kawaida locha utavaaje brand ta fly Emirates kwenye club unayofundisha inayodhaminiwa na sumsung? Click to expand... Ndiyo hapo nasema Yanga Ndiyo wamwambie tuna sponsors wa club. Pia tusisahau wachezaji na makocha wana sponsors wao.
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Aug 23, 2019 #23 Na lazima wasilimu CCM oyeeeee alaaa