TFF:Kocha mkuu na benchi la ufundi lazima sare

TFF:Kocha mkuu na benchi la ufundi lazima sare

Mkuu lakini kwa akili ya kawaida locha utavaaje brand ta fly Emirates kwenye club unayofundisha inayodhaminiwa na sumsung?
Ndiyo hapo nasema Yanga Ndiyo wamwambie tuna sponsors wa club.

Pia tusisahau wachezaji na makocha wana sponsors wao.
 
Back
Top Bottom