Tetesi: TFF kuburuzwa FIFA na Yanga kwa kuahirisha mchezo halali wa ligi bila sababu maalum

Wewe ni miongoni mwa wale aliowasema Rage mpo wengi uko umbumbuni,,ata ujielewi unachokiongea!
 
Simba imefanya kitendo cha kijinga sana kwa kuikimbia mechi muhimu kama hii, kwa sababu zao za kipuuzi.
Mm nikajua nyinyi mnacheza? Maana nimesikia Yanga wapo uwanjani
 
Wewe ni miongoni mwa wale aliowasema Rage mpo wengi uko umbumbuni,,ata ujielewi unachokiongea!
Aliowasema Rage hawa hapa wametoa na line up.

Halafu walivyokuwa na roho mbaya hadi kwenye mechi ya scam bado eti Chama wamemuweka bench

Sijaona sheria ya fifa inasema club ikileta malalamiko iwe searched kwanza kuangalia matukio ya club ndipo waiskilize labda km utaratibu mpya.

Nachojua Yanga imeingiza timu uwanjani hayo mengine labda board ya ligi ilete uhuni
 
Kwanini hawaendi kushitaki caf? Kule bosi ni injinia atawasaidia kushinda kesi
 
Taahira mwingine uyu hapa,,leta kanuni inayozuia kudhamini timu saba?
Peleka kinyeo kwa Hersi unataka kanuni nenda kazitafute mwenyewe kwanye tume ya ushindani.
 
Kwani hii mechi imeahirishwa kwa kila timu kupewa barua rasmi au ni matamko ya redioni.Hii ni dhahama kubwa
 
Sijaona sheria ya fifa inasema club ikileta malalamiko iwe searched kwanza kuangalia matukio ya club ndipo waiskilize labda km utaratibu mpya.

Nachojua Yanga imeingiza timu uwanjani hayo mengine labda board ya ligi ilete uhuni
Umeandika kwa maumivu. Una umri gani kijana?
 
Duh kweli nimeamini utopolo ni utopolo
 
Sijaona sheria ya fifa inasema club ikileta malalamiko iwe searched kwanza kuangalia matukio ya club ndipo waiskilize labda km utaratibu mpya.

Nachojua Yanga imeingiza timu uwanjani hayo mengine labda board ya ligi ilete uhuni
Kwenye sheria za kimahakama background records huwa zina play part kubwa kwenye maamuzi ya currently kesi.

Kuna hukumu zinaweza kutolewa zikawa kubwa kuliko kosa ambalo umeshtakiwa kwasababu tu ya records zako za nyuma zinazoonesha kuwa wewe ni mtu wa tabia hiyo.

Kama wewe umekuwa mwizi, kibaka, sugu ambaye watu wengi wamekufungulia mashtaka then ikatokea siku umempeleka mtu mahakamani kwasababu kakudhukumu pesa yako.

Mahakama inaweza kupitia records za huyo uliyemlalsmikia na kukuta hana records za utapeli wala kosa lolote.

Halafu wakaja kuangalia na kwako wakakuta kuna lundo la kesi watu wakikushtaki kwa utapeli, wizi nk. Lazima mahakama ianze kushughulika na wewe kwanza.
 
Aliowasema Rage hawa hapa wametoa na line up.

Halafu walivyokuwa na roho mbaya hadi kwenye mechi ya scam bado eti Chama wamemuweka bench

View attachment 3263846
Line up lazima watoe wewe uwezi kuelewa wanachokifanya hapo ndio maana mangungu anawaongoza kiwepesi,,auna D 2 na auwezi kuelewa kamwe!
 
Line up lazima watoe wewe uwezi kuelewa wanachokifanya hapo ndio maana mangungu anawaongoza kiwepesi,,auna D 2 na auwezi kuelewa kamwe!
Line up wanatoa ili wafanye nini?

Marefa watakaochezesha hiyo mechi watatokea wapi ikiwa wenye mamlaka na marefa ndio hao wamesema hawataki kuona kunguni yeyote hapo Lupaso?
 
Huko ndio kutamu na madeni waliyoshitakiwa watakuwa wamejipeleka yanga wanajulikana kwa ukorofi wa kutowalipa wachezaji pesa zao!
 
Aliowasema Rage hawa hapa wametoa na line up.

Halafu walivyokuwa na roho mbaya hadi kwenye mechi ya scam bado eti Chama wamemuweka bench

View attachment 3263846
Chama si mnamuabudu nyinyi mbumbumbu.

Kwenu Chama ni zaidi ya Mungu.

Kuna wakati Chama alikuwa anapigwa benchi makolo mkaja juu na kumuwakia kocha mkitaka acheze mfumo unaomfata Chama.

Yanga hatuna umbumbumbu wa kumuabudu mchezaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Line up wanatoa ili wafanye nini?

Marefa watakaochezesha hiyo mechi watatokea wapi ikiwa wenye mamlaka na marefa ndio hao wamesema hawataki kuona kunguni yeyote hapo Lupaso?
Kunguni washakimbia mapema baada ya kuchungulia na kuona dhahama ya kipigo cha 5 mfululizo
 
Chama si mnamuabudu nyinyi mbumbumbu.

Kwenu Chama ni zaidi ya Mungu.

Kuna wakati Chama alikuwa anapigwa benchi makolo mkaja juu na kumuwakia kocha mkitaka acheze mfumo unaomfata Chama.

Yanga hatuna umbumbumbu wa kumuabudu mchezaji.
Mechi yenu ya mwisho na Mc Algier tuliwasikia vilio vyenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…