Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Watu waliposema Karia hana maana yoyote hapo TFF watu walidhani Yanga ndio wanamwandama. Ligi imechelewa kuisha, viwanja havijakaguliwa mpaka ligi inaanza, maandalizi ngao ya hisani ni sifuri, afu unasikia mtu kapita bila kupingwa. Inabidi Serikali zitafute nanna ya kupambana na rushwa kwenye vyama vya michezo.Nimeshangaa leo kusikia kuwa TFF imevifungia baadhi ya Viwanja kwa visitumike kwenye matches za ligi kuu Tanzania,kama vile Jamhuri Morogoro na Ushirika Moshi. Je TFF walikuwa wapi muda wote huo kuvifungia kabla ligi haijaanza,au ndio mwendelezo wa ule ubabaishaji wa Soka la Bongo?
Wenye viwanja ni wajibu wao kuhakikisha wakati wote vinakidhi viwango vya ubora. Ukaguzi na kufungwa vinaweza vikafanywa wakati wowote.Nimeshangaa leo kusikia kuwa TFF imevifungia baadhi ya Viwanja kwa visitumike kwenye matches za ligi kuu Tanzania,kama vile Jamhuri Morogoro na Ushirika Moshi. Je TFF walikuwa wapi muda wote huo kuvifungia kabla ligi haijaanza,au ndio mwendelezo wa ule ubabaishaji wa Soka la Bongo?
Uwanja unafungiwa muda wowote ukionekana haufaiNimeshangaa leo kusikia kuwa TFF imevifungia baadhi ya Viwanja kwa visitumike kwenye matches za ligi kuu Tanzania,kama vile Jamhuri Morogoro na Ushirika Moshi. Je TFF walikuwa wapi muda wote huo kuvifungia kabla ligi haijaanza,au ndio mwendelezo wa ule ubabaishaji wa Soka la Bongo?