Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nimeshangaa leo kusikia kuwa TFF imevifungia baadhi ya Viwanja kwa visitumike kwenye matches za ligi kuu Tanzania,kama vile Jamhuri Morogoro na Ushirika Moshi. Je TFF walikuwa wapi muda wote huo kuvifungia kabla ligi haijaanza,au ndio mwendelezo wa ule ubabaishaji wa Soka la Bongo?