Press ya leo ya Yanga imeitishwa ili kumkana hadharani Manara.
Kwa sasa Manara ndiye uti wa mgongo wa Yanga bila yeye hakuna mataji. Wakijichanganya kumtosa watapata tabu sanaYanga wameitisha press asubuhi hii?
kuna sehemu wamesema watamkana manara?Wana press mchana wa leo
Habar mnama[emoji41][emoji41][emoji41]Hivi kwanini na sisi Simba sc tusiige wenzetu wa utopolo kuitisha Press kila siku? Kama hatuna cha kuongea si tuwaute tu waandishi halafu tuwaambie dhumuni la press ni kutaka kuwasalimia watanzania?
Itafanyika sangapi mkuu 😎 😎Press ya leo ya Yanga imeitishwa ili kumkana hadharani Manara.
Acha utoto kwani Haji Manara anacheza namba ngapi mpaka timu ikose Mataji?Kwa sasa Manara ndiye uti wa mgongo wa Yanga bila yeye hakuna mataji. Wakijichanganya kumtosa watapata tabu sana
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Haji Manara ndiyo kila kitu kwa Yanga wewe hujui tuAcha utoto kwani Haji Manara anacheza namba ngapi mpaka timu ikose Mataji?
Intagram na Facebook tayari zishafungiwa na TFF ?Manara amekuwa akiendelea kuropoka licha ya adhabu anayotumikia. Amekuwa akilalamika kuwa kaonewa licha ya kupewa siku 21 za kukata rufaa. Ushahidi ambao angeutumia kwenye rufaa amekuwa akiusema kwenye press.
Licha ya adhabu bado yupo kwenye denial haamini kama kafungiwa kweli.
Yanga walijitokeza na kusema wanamuunga mkono lakini kwenye press yake hawakumruhusu kutumia nembo ya club kwa hofu ya Rungu kuwaangukia.
Tff wameweka mtego kwa atakayejichanganya kumuunga mkono Manara ili apigwe na kitu kizito sana.
Press ya leo ya Yanga imeitishwa ili kumkana hadharani Manara.
Tuna muomba manara aendelee kutumia logonya club yake pendwa ktkmpress zake ili Tff wapate fedha za fineManara amekuwa akiendelea kuropoka licha ya adhabu anayotumikia. Amekuwa akilalamika kuwa kaonewa licha ya kupewa siku 21 za kukata rufaa. Ushahidi ambao angeutumia kwenye rufaa amekuwa akiusema kwenye press.
Licha ya adhabu bado yupo kwenye denial haamini kama kafungiwa kweli.
Yanga walijitokeza na kusema wanamuunga mkono lakini kwenye press yake hawakumruhusu kutumia nembo ya club kwa hofu ya Rungu kuwaangukia.
Tff wameweka mtego kwa atakayejichanganya kumuunga mkono Manara ili apigwe na kitu kizito sana.
Press ya leo ya Yanga imeitishwa ili kumkana hadharani Manara.
Anacheza namba ngapiKwa sasa Manara ndiye uti wa mgongo wa Yanga bila yeye hakuna mataji. Wakijichanganya kumtosa watapata tabu sana
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app