Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Manara amekuwa akiendelea kuropoka licha ya adhabu anayotumikia. Amekuwa akilalamika kuwa kaonewa licha ya kupewa siku 21 za kukata rufaa. Ushahidi ambao angeutumia kwenye rufaa amekuwa akiusema kwenye press.
Licha ya adhabu bado yupo kwenye denial haamini kama kafungiwa kweli.
Yanga walijitokeza na kusema wanamuunga mkono lakini kwenye press yake hawakumruhusu kutumia nembo ya club kwa hofu ya Rungu kuwaangukia.
Tff wameweka mtego kwa atakayejichanganya kumuunga mkono Manara ili apigwe na kitu kizito sana.
Press ya leo ya Yanga imeitishwa ili kumkana hadharani Manara.