Malinzi ni shida tangu alipoingia TFF..... kwanza alienda kupanga ofisi PPF Tower kwa kuona kukaa ofisi za Karume ataonekana kama yeye siyo CEO ni lazima akakae na MA_ CEO wenzake posta. Pili akafanya ubadhirifu wa kutisha kwa kizingizio cha kutafuta vipaji nchi nzima... matokeo yake zoezi zima halikuwa na tangible results. Ameshidwa kuongoza TFF kwa maana hili suala la kodi alitakiwa amelishughulikia na serikali na kulimaliza. Yeye amekuwa mtu wa kulalamika sanaMara nyingi sana naiguatilia hii TFF ya malinzi kama inajielewa au vip kwa sababu zifuatazo:
1- Wanadaiwa bil 1.8 na nimemsikiliza huyu malinzi analalamika na kusema hata uwanja wa karume nao wanauweza kufungwa kwa sbb ya madeni
2 - Hawajui nani anapaswa kumlipa mkwasa kama TFF au serikali
3 - Walibuni njia ya kutafuta vipaji kwa kufuata mikoani na kuweka kombe kyela kumbe changa la macho
4 - Kwa kipindi alichokaa malinzi hakuna maendeleo
5 - Hawajitambui hata jinsi ya kupanga ratiba ni panga pangua
6 - Wamenyima demokrasia vilabu na kumfungia mwanasheria kwa miaka kisa tu ukweli unauma
7 - Naona maamuzi yao mengi ni ya kukurupuka tu
Hayo ni maoni yangu naona swala la mpira bongo hii kama day dreams