TFF kuwa kimya kimya kwa kauli ya Makonda ina maana gani?

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Hivi TFF hawajang'amua tu madhara ya kauli ya Makonda kwamba Taifa stars ni mali ya CCM? Hivi CCM ndo Tanzania? Kwahiyo wale ambao ni watanzania na sio wana CCM, Taifa stars sio ya kwao??

TFF kukaa kimya means wameunga mkono hiyo kauli au vipi?

Bado safari ni ndefu......
 
Msomali mwenyewe CCM DAMU. si ulisikia alisema hataki u-TUNDU LISSU???

Ameridhia Hadi timu kubadilishwa jina na kuitwa TAIFA STAAAA
 
Karia ajitokeze aliweke hili sawa, vinginevyo watu wataripoti FIFA Kuwa timu hii wanayoitambua kama ya Taifa sivyo bali ni ya Chama kilicho madarakani kwa hila na kulingana na kanuni za FIFA nchi inaweza kufungiwa kushiriki.
Halafu kwenye kile kikao cha matusi ya makonda kwa watanzania yule Manara alikuwa pale kama nani ?
 
Wamjibu wanajipenda? hata Waziri mwenye dhamana hana uwezo huo.
 
Taifa stars ni mali ya waTanzania... inahudumiwa na serikali, kwa kupitia kodi zetu, serikali iliyopo madarakani kwa sasa ni serikali ya CCM...

Automatically hata wewe mleta mada utafurukuta weee ila mwisho wa siku nawe ni mali ya CCM...

Cc: mahondaw
 
basi taifa stars ikabidhiwe kwa PolePole
 
THANK YOU!

Karia ajitokeze aliweke hili sawa, vinginevyo watu wataripoti FIFA Kuwa timu hii wanayoitambua kama ya Taifa sivyo bali ni ya Chama kilicho madarakani kwa hila na kulingana na kanuni za FIFA nchi inaweza kufungiwa kushiriki.
 
FIFA WAKIBAINI HILO Mnapigwa makufuli!! maana FIFA na siasa mbalimbali
 
Unahitaji kupimwa wewe!
 
Karia ajitokeze aliweke hili sawa, vinginevyo watu wataripoti FIFA Kuwa timu hii wanayoitambua kama ya Taifa sivyo bali ni ya Chama kilicho madarakani kwa hila na kulingana na kanuni za FIFA nchi inaweza kufungiwa kushiriki.
Karia mwenyewe Kada unataka yamkute makubwa kama yakina malinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…