kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Hivi TFF hawajang'amua tu madhara ya kauli ya Makonda kwamba Taifa stars ni mali ya CCM? Hivi CCM ndo Tanzania? Kwahiyo wale ambao ni watanzania na sio wana CCM, Taifa stars sio ya kwao??
TFF kukaa kimya means wameunga mkono hiyo kauli au vipi?
Bado safari ni ndefu......
TFF kukaa kimya means wameunga mkono hiyo kauli au vipi?
Bado safari ni ndefu......