Wanaogopa kitu gani wakati wao ndio waliolikoroga?Shirikisho la soka Tanzania TFF, limesema litawatia nguvuni kwa mujibu wa sheria na taratibu mashabiki watakaoikashifu serikali ama uongozi wa shirikisho hilo kwa kuingia na mabango uwanjani yenye jumbe tofauti hapo kesho katika mchezo wa kimataifa wa klabu bingwa Afrika kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Ngaya ya nchini Comoro.
42
Na hiyo ni Tanzania mzima sasa nashangaa wanaogopa hapa tu darHahaaaaa wasubirie 2020.
Wameyataka wao wenyewe alafu wanaomba pooooTFF mmekuwa tawi la DAUD mtumia cheti cha mtu?
Hajakosea iko sawa, hiyo ni club ya mpira iko visiwani Comoro.Heading umekosea! umeandika Ngaya nadhani ulitaka kuandika Yanga
Ahsante sana kwakunieleweshaHajakosea iko sawa, hiyo ni club ya mpira iko visiwani Comoro.