Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nao wanaelewa hilo ila kwa sababu wameamua kuwa toilet paper hawana jinsi nyingineTff wamejuaje?au nao wanajua kua manji alikua anaonewa?
Kwa hili wamechemka bado wana yanga wana imani na mwenyekiti wao ManjiNao wanaelewa hilo ila kwa sababu wameamua kuwa toilet paper hawana jinsi nyingine
KWATARIFA ZENU KESHO WANAYANGA WOTE TUTAINGIA NA STAILI MPYA YA KUSHANGILIA UWANJA MZIMA KESHO TUTAANZA KUIMBA PEOPLES POWER PEOPLES POWER MARUFUKU KWA MWANA YANGA KUIMBA CCM CCM KUANZIA SASA NI PEOPLES POWERShirikisho la soka Tanzania TFF, limesema litawatia nguvuni kwa mujibu wa sheria na taratibu mashabiki watakaoikashifu serikali ama uongozi wa shirikisho hilo kwa kuingia na mabango uwanjani yenye jumbe tofauti hapo kesho katika mchezo wa kimataifa wa klabu bingwa Afrika kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Ngaya ya nchini Comoro.
![]()
Hili nalo pia ni nenoKWATARIFA ZENU KESHO WANAYANGA WOTE TUTAINGIA NA STAILI MPYA YA KUSHANGILIA UWANJA MZIMA KESHO TUTAANZA KUIMBA PEOPLES POWER PEOPLES POWER MARUFUKU KWA MWANA YANGA KUIMBA CCM CCM KUANZIA SASA NI PEOPLES POWER
Hahaaa.... Na rangi ya jezi tunabadiliKWATARIFA ZENU KESHO WANAYANGA WOTE TUTAINGIA NA STAILI MPYA YA KUSHANGILIA UWANJA MZIMA KESHO TUTAANZA KUIMBA PEOPLES POWER PEOPLES POWER MARUFUKU KWA MWANA YANGA KUIMBA CCM CCM KUANZIA SASA NI PEOPLES POWER
Wewe ndo umenifumbua macho....!!! Lo! Kumbe Manji alikamatwa kwa sababu za kisiasa na kipropaganda???TFF wana akili sana..hatutaki mambo ya siasa mpirani wala propaganda