TFF kuwatia nguvuni washabiki wa Yanga watakaobeba mabango kuikashifu serikali kesho dhidi ya Ngaya

Wasubiri uchaguzi ufike ndio watazifamu hasira za wana yanga madereva atajuta
Hamna kitu nyie ili kuonyesha mpo serious anzeni kubadili rangi ya jezi zenu itofautiane na rangi zao hapo sasa tutaanza kusubiri hasira zenu lkn kwa kuwa mnavaa nguo zinafanana ni walewale tuu
 
Hamna kitu nyie ili kuonyesha mpo serious anzeni kubadili rangi ya jezi zenu itofautiane na rangi zao hapo sasa tutaanza kusubiri hasira zenu lkn kwa kuwa mnavaa nguo zinafanana ni walewale tuu
Hayo ni mawazo yako na tunayaheshimu
 
WANAYANGA WOTE NI MUDA WETU HUU KUUSUSIA MCHEZO af tuone TFF ela watapata wap!
 
Hapa Malinzi anaona atalindwa dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili
 
yanga haiwezi kubadiri Rangi zake imeanza kutumia kabla ya tanu na ccm
 
TFF hawana lolote jipya mandumila kuwili hawa wanatafuta huruma ya TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…