eddy brown JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 414 Reaction score 314 Oct 2, 2018 #21 Povu la nini wadau,kikubwa hizi timu zetu zijenge viwanja vyao ili wafaidike na mgao
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Oct 2, 2018 #22 sembo said: Hahaha.. Sawa Mkuu. Kwa upande wetu, Simba SC tushaliona hilo, ndo mana hivi sasa mambo ni moto mitaa ya Bunju. Mafundi wako site masaa 24, kuhakikisha uwanja unakamilika haraka iwezekanavyo. Si mbaya mkatuiga. Click to expand... Nyie ndiyo mnaiga labda na kuboresha
sembo said: Hahaha.. Sawa Mkuu. Kwa upande wetu, Simba SC tushaliona hilo, ndo mana hivi sasa mambo ni moto mitaa ya Bunju. Mafundi wako site masaa 24, kuhakikisha uwanja unakamilika haraka iwezekanavyo. Si mbaya mkatuiga. Click to expand... Nyie ndiyo mnaiga labda na kuboresha
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Oct 2, 2018 #23 game ijayo utasikia mpaka Tanesco nao wamechukua.... hivi hizo gharama za mchezo ndio Nini? na Nani anachukua hizo pesa kwa kugharamia Nini?
game ijayo utasikia mpaka Tanesco nao wamechukua.... hivi hizo gharama za mchezo ndio Nini? na Nani anachukua hizo pesa kwa kugharamia Nini?
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Oct 2, 2018 #24 game ijayo utasikia mpaka Tanesco nao wamechukua.... hivi hizo gharama za mchezo ndio Nini? na Nani anachukua hizo pesa kwa kugharamia Nini?
game ijayo utasikia mpaka Tanesco nao wamechukua.... hivi hizo gharama za mchezo ndio Nini? na Nani anachukua hizo pesa kwa kugharamia Nini?
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 Oct 3, 2018 #25 Maana yake kama timu zingekuwa zinagawana mapato kila timu ingeambulia kama million 90tu