TFF kuweni na huruma na mapato kwa timu

TFF kuweni na huruma na mapato kwa timu

Povu la nini wadau,kikubwa hizi timu zetu zijenge viwanja vyao ili wafaidike na mgao
 
Hahaha.. Sawa Mkuu.

Kwa upande wetu, Simba SC tushaliona hilo, ndo mana hivi sasa mambo ni moto mitaa ya Bunju. Mafundi wako site masaa 24, kuhakikisha uwanja unakamilika haraka iwezekanavyo. Si mbaya mkatuiga.
Nyie ndiyo mnaiga labda na kuboresha
 
game ijayo utasikia mpaka Tanesco nao wamechukua....



hivi hizo gharama za mchezo ndio Nini?
na Nani anachukua hizo pesa kwa kugharamia Nini?
 
game ijayo utasikia mpaka Tanesco nao wamechukua....



hivi hizo gharama za mchezo ndio Nini?
na Nani anachukua hizo pesa kwa kugharamia Nini?
 
Maana yake kama timu zingekuwa zinagawana mapato kila timu ingeambulia kama million 90tu
 
Back
Top Bottom