TFF kwa hili la tuzo hebu oneni aibu hata kidogo

TFF kwa hili la tuzo hebu oneni aibu hata kidogo

Hilo linatupatia picha kujua elimu ya viongozi wetu pale TFF
 
Tuzo nyingi ni za Yanga (winner takes all) na hii inamuuma sana Karai maana Simba yao mdebwedo tu msimu huu sasa wanatafuta muda kuchakachua na wajue tunawakodolea macho haki itendeke ,
Mfungaji bora Aziz Ki
Beki bora Bacca
Kipa Bora Diarra mpeni haki yake
MVP Aziz Ki mpeni haki yake
Mshambuliaji Bora Mzize/ Mbangula/ Waziri Junior
Kiungo Bora - Mudathir / Aucho/ Feitoto au Pacome
Nidhamu ....hii iende Azam Sylla au Kipre/ Coastal union (Matampy)
Simba haki yao tuzo 0! hakuna walichofanya simba msimu huu! hawastahili tuzo yoyote na TFF mkiwapa tutawaponda mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom