Tuzo nyingi ni za Yanga (winner takes all) na hii inamuuma sana Karai maana Simba yao mdebwedo tu msimu huu sasa wanatafuta muda kuchakachua na wajue tunawakodolea macho haki itendeke ,
Mfungaji bora Aziz Ki
Beki bora Bacca
Kipa Bora Diarra mpeni haki yake
MVP Aziz Ki mpeni haki yake
Mshambuliaji Bora Mzize/ Mbangula/ Waziri Junior
Kiungo Bora - Mudathir / Aucho/ Feitoto au Pacome
Nidhamu ....hii iende Azam Sylla au Kipre/ Coastal union (Matampy)
Simba haki yao tuzo 0! hakuna walichofanya simba msimu huu! hawastahili tuzo yoyote na TFF mkiwapa tutawaponda mwanzo mwisho.