GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naziona dalili zote za Derby ya Leo Kuahirishwa kutokana na Hali ya Hewa mbaya iliyopo hasa leo na hii Mvua Kubwa sana inayonyesha karibia Dar es Salaam yote.Hakuna kitu kama hiki
Nahisi Mechi itahairishwa tu kwakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa hautokuwa katika hali nzuri ya Kuchezea kwakuwa utajaa sana Maji na utaondoa hata Labda yenyewe ya Soka zuri lililokuwa likitegemewa kama Mvua isingenyesha.Upigwe tu hakuna namna. Mambo ya viporo na hizi ratiba za tff game baada ya wiki 2 hii ligi itaisha 2025.
Pitch ya Kuchezea si nzuri katika Kuchuja, Kuondoa na Kuyakausha kwa haraka Maji yakijaa. Acheni ligi ( ubishi ) wa Kipuuzi wakati Wengine tuna uzoefu wa Familiarization na huo Uwanja kwa Matukio ya Mpira au ya Burudani zingine kama kukiwa na Mvua Kubwa na isoyokatika kwa haraka.Acha Match Ichezwe Leo Usiharibu Ratiba Ya Ligi
Uwanja Ni Wa Kisasa Huo
Hapana tutacheza hata kwenye mvua.GENTAMYCINE sioni dalili zozote za kuwepo kwa Mechi ya Leo na Mpira ukawa ni wa Kuvutia na Watu ( Mashabiki ) Kuufurahia.
Sawa mkuu hili nilisema toka juzi kuwa mechi haitachezwaSasa Ni Saa 5 inaenda Saa 6 Mchana na Hali ya Hewa ni ya Mvua, Baridi na Upepo tusidanganyane kuwa Hali ya Hewa hadi Saa 11 Jioni muda wa Mtanange ( Mechi ) hii Mvua itakuwa imekata.
TFF na TPLB nawashauri I msione Aibu au kuingiwa na Uwoga kutangaza muda huu ( mapema hii ) kuwa Mechi ya Simba na Yanga imehairishwa kutokana na Hali ya Hewa mbaya ya Mvua Kubwa zinyeshazo sasa na kwamba ichezwe Jumatano ijayo au ipangiwe tarehe nyingine / mpya ila kwa GENTAMYCINE sioni dalili zozote za kuwepo kwa Mechi ya Leo na Mpira ukawa ni wa Kuvutia na Watu ( Mashabiki ) Kuufurahia.
Unapoteza mda wako bure,pia unanyweshewa nenda nyumbani kapumzike hakuna mechiGame inachezwa acheni nongwa wengine ndio tunaingia ground hapa
Tukacheze Mwanza hakuna mbambamba za mvuaSasa Ni Saa 5 inaenda Saa 6 Mchana na Hali ya Hewa ni ya Mvua, Baridi na Upepo tusidanganyane kuwa Hali ya Hewa hadi Saa 11 Jioni muda wa Mtanange ( Mechi ) hii Mvua itakuwa imekata.
TFF na TPLB nawashauri I msione Aibu au kuingiwa na Uwoga kutangaza muda huu ( mapema hii ) kuwa Mechi ya Simba na Yanga imehairishwa kutokana na Hali ya Hewa mbaya ya Mvua Kubwa zinyeshazo sasa na kwamba ichezwe Jumatano ijayo au ipangiwe tarehe nyingine / mpya ila kwa GENTAMYCINE sioni dalili zozote za kuwepo kwa Mechi ya Leo na Mpira ukawa ni wa Kuvutia na Watu ( Mashabiki ) Kuufurahia.
Si muliufanyia matengenezo huo?Pitch ya Kuchezea si nzuri katika Kuchuja, Kuondoa na Kuyakausha kwa haraka Maji yakijaa. Acheni ligi ( ubishi ) wa Kipuuzi wakati Wengine tuna uzoefu wa Familiarization na huo Uwanja kwa Matukio ya Mpira au ya Burudani zingine kama kukiwa na Mvua Kubwa na isoyokatika kwa haraka.
TFF na TPLB ihairisheni hii Derby leo.
Watagoma tena kama kipindi kileeeSasa Ni Saa 5 inaenda Saa 6 Mchana na Hali ya Hewa ni ya Mvua, Baridi na Upepo tusidanganyane kuwa Hali ya Hewa hadi Saa 11 Jioni muda wa Mtanange ( Mechi ) hii Mvua itakuwa imekata.
TFF na TPLB nawashauri I msione Aibu au kuingiwa na Uwoga kutangaza muda huu ( mapema hii ) kuwa Mechi ya Simba na Yanga imehairishwa kutokana na Hali ya Hewa mbaya ya Mvua Kubwa zinyeshazo sasa na kwamba ichezwe Jumatano ijayo au ipangiwe tarehe nyingine / mpya ila kwa GENTAMYCINE sioni dalili zozote za kuwepo kwa Mechi ya Leo na Mpira ukawa ni wa Kuvutia na Watu ( Mashabiki ) Kuufurahia.
Lupaso inajaa Maji weweAcha Match Ichezwe Leo Usiharibu Ratiba Ya Ligi
Uwanja Ni Wa Kisasa Huo
Kandanda siyo mkutano wa Chadema au CCM ujue!Hapana tutacheza hata kwenye mvua.