TFF kwa hili Wingu, Mvua hii Kubwa na Hali ya Hewa isiyo Rafiki msione Aibu tu Kuahirisha Derby ya Leo kwa Mkapa

Mpira utaahirishwa "ikilazimu", timu zikiwa uwanjani. Wakiahirisha kwa kukurupuka, hawaachi kugeukana.
 
Kwa wenzetu wangeshatuma watathmini na Mechi ingetangazwa PP Tangu saa 6, huku Ughaibuni mpaka maji yawe yanafika kiunoni kwa mchezaji ndo Mechi iahirishwe.
 
Ni vyema maboresho mapya ya uwanja yaendane na kuwa na kifuniko au turubai maalumu kwa juu la kufunga na kufungua ili nyakati kama hizi mambo yasiharibike....
Hili wazo sijawahi kulifikiria Ila ni bonge la idea. Hata Hilo turubai lingewekwa kwenye pitch Tangu Jana Mambo yasingeharibika.
 
Kwa wenzetu wangeshatuma watathmini na Mechi ingetangazwa PP Tangu saa 6, huku Ughaibuni mpaka maji yawe yanafika kiunoni kwa mchezaji ndo Mechi iahirishwe.
Huko huko kwa wenzenu kila siku watu wanacheza mech kwenye barafu, sio tu mvua,

Acheni kuwadekeza watu, hakuna mvua kubwa ya kuzuia match hapa, hii match ichezwe,
Ingekuwa kagera sugar Vs Mtibwa mngekuja kulalamika ?
 
Kweli Kagera Sugar Vs Mtibwa Sugar ni Sawa na Simba Vs Yanga Mkuu? Si Sawa kulinganisha Hiace na Macopolo.
 
Kweli Kagera Sugar Vs Mtibwa Sugar ni Sawa na Simba Vs Yanga Mkuu? Si Sawa kulinganisha Hiace na Macopolo.
Utofaut wake nini? Si zote zinacheza NBC ? Kwa akili hii ndio mana unataka hii iahirishwe ila nyingine zichezwe kwenye mvua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kwa taarifa yako goma linapigwa kama kawaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…