Badala ya kuulaumu mkoa kwa ujumla wake, ni vyema ukajua mmiliki wa uwanja ni nani. Kwani hukumbuki siku moja kabla ya mechi ya yanga na Prisons pale Sokoine jinsi chama kikiongozwa na Tulia kilivyopeleka tamasha lla Wasafi mpaka pitch ikapotea kabisa? Inawezekana mmiliki hicho kwake hakikuwa kipaumbeleHv kwel mkoa wa Rukwa ndio mko slow kiasi hicho. ...
Wa kwanza nawalaumu TFF coz walikua na uwezekano wakuchagua kiwanja chenye kiwango coz hiyo ni fainali lazma ichezwe kwenye kiwanja Bora. Hao wamiliki hawana kosa coz km kwa madhaifu yote TFF iliona na ikakipendekeza mmiliki kwel angekataa? Bora hata ingekuwa n ligi ungesema ilibidi tu coz viwanja vizuri vichache lakini fainali kweli kwenye hicho kiwanja maandalizi hadi wiki hii ndio watu wanakimbizana na rangi.Badala ya kuulaumu mkoa kwa ujumla wake, ni vyema ukajua mmiliki wa uwanja ni nani. Kwani hukumbuki siku moja kabla ya mechi ya yanga na Prisons pale Sokoine jinsi chama kikiongozwa na Tulia kilivyopeleka tamasha lla Wasafi mpaka pitch ikapotea kabisa? Inawezekana mmiliki hicho kwake hakikuwa kipaumbele
Hivi CCM watakarabati lini hivi viwanja vyao?Yapo mengi mnafanya vizuri lakini hili ni moja ya Makosa mmefanya
Mmepeleka Fainal ya FA Sumbawanga
Sio Jambo baya lakini Mlitafakari kwa kina au mlikurupuka?
Kweli Uwanja kama huu niwakuchezea Fainali kweli ya FA!?
Muache Dharau Heshimuni Fainali
Hii nihali ya Uwanja Leo Tar 01/08/2020
17:20
Masaa machache kabla ya mchezo
View attachment 1523873View attachment 1523877
Alipo sema viwanja vyetu vyakufugia Mbwa HahahaNi jambo lililonisikitisha sana kama kwel fainali inachezwa kwenye uwanja wa namna hiyo acha tu luc atutukane tu. Hv kwel mkoa wa Rukwa ndio mko slow kiasi hicho. Taarifa za kuhost huo mchezo mlkua nao muda mrefu sana lakini nashindwa kujua mlishindwaje kuandaa uwanja kwa muda wote huo. TFF badilikeni jamn, sawa huenda mnahamasisha michezo mikoani lakini kunawakati wa kuangalia hata kiwanja mnachopendekeza upoje. Utazani hatuna viwanja vizuri.
Wanapaka Rangi majukwaa pitch ikiwa HovyoWa kwanza nawalaumu TFF coz walikua na uwezekano wakuchagua kiwanja chenye kiwango coz hiyo ni fainali lazma ichezwe kwenye kiwanja Bora. Hao wamiliki hawana kosa coz km kwa madhaifu yote TFF iliona na ikakipendekeza mmiliki kwel angekataa? Bora hata ingekuwa n ligi ungesema ilibidi tu coz viwanja vizuri vichache lakini fainali kweli kwenye hicho kiwanja maandalizi hadi wiki hii ndio watu wanakimbizana na rangi.