TFF ndo baba wa michezo tz so wanaweza kuongea na marefa wakawabeba yangaUmekunjwa chai lakini ,post za kuleta bila kunywa chai haifai mkuu ,sasa TFF ahusike kwa lipi hapo?
Sasa wakibebwa huoni madhara yake ni makubwa kwamba ataenda kutuaibisha mbeleni?TFF ndo baba wa michezo tz so wanaweza kuongea na marefa wakawabeba yanga
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
hapana mkuu unakumbuka kilichotokea kwa mtibwa kushindwa kusafir sababu ya kipato had wakapigwa fain na caf,Hao yanga wakienda kimataifa wanafanyaga nini zaidi ya kutuhaibisha.
Asipoenda wengine wataenda pia wana haki ya kutuwakilisha. Kila timu ivune iilichopanda.
bora yanga watafanya usajir kuna gsm hao Namungo wataenda kutuahibisha mzee babaSasa wakibebwa huoni madhara yake ni makubwa kwamba ataenda kutuaibisha mbeleni?
Hapo kuwashawishi Tff wawabebe sidhani kama upo sahihi wapambane washinde ili uwakilishi wao uwe wa uhakika.bora yanga watafanya usajir kuna gsm hao Namungo wataenda kutuahibisha mzee baba
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
kweli mkuu wasije enda wapigwe 5-5-5-3 kama wenzao wanadharirisha mpira wetu huwezi pigwa 5 mara 2,3Hao yanga wakienda kimataifa wanafanyaga nini zaidi ya kutuhaibisha.
Asipoenda wengine wataenda pia wana haki ya kutuwakilisha. Kila timu ivune iilichopanda.
mbona namungo amebebwa zid ya sahaleHapo kuwashawishi Tff wawabebe sidhani kama upo sahihi wapambane washinde ili uwakilishi wao uwe wa uhakika.
Haaaaaahaaaaa tafadhal msitafute sababu hatutaki msaada wa kengemaji yeyote yule tunauitosheleza nyie chezeni mpira msijesema mmetuachia bure si tunawakanda tu nyie na mama zenu tff!TFF ndo baba wa michezo tz so wanaweza kuongea na marefa wakawabeba yanga
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Mbona mnahangaika? Lini tff iliwahi kaa upande wetu msitafute sababu hatutaki msaada wala visingizio sisi tunawakanda tu!Hapo kuwashawishi Tff wawabebe sidhani kama upo sahihi wapambane washinde ili uwakilishi wao uwe wa uhakika.
Huyo mbumbumbu mwenzenu yaani aje kuomba kubebwa inakuingia akilini kweli?Wewe sio simba bali utopolo wacha mwenye uwezo aende
we ujawahi kuona timu ikibebwa mkuu kwa maslahi mapana ya taifaAisee we ni kichaa,yaani timu ibebwe iende kuwakilisha kimataifa?nenda mirembe unastahili dozi
wewe ndio shabiki wa simba wa kwanza mjinga kumuona.. hivi timu zingine zitaanza kuwakilisha nchi lini kama hazipati exposure kisa eti yanga watatuwakilisha vizuri?Kuna timu hapo juzi juzi tu ilituwakilisha, ilipigwa kumi?Habari wana futiboli wenzangu
Mim ni simba damu ila naona umuhimu wa leo yanga kushinda ili akachukue hili kombe akawakilishe kimataifa mnajua kwann,
Simba tayar kashakata tiketi ya kucheza kimataifa so kama atashinda leo hyo itakuwa imeipeleka Namungo moja kwa moja kucheza kimataifa kitu ambacho sio sahihi,,, hawa Namungo wataanza kutusumbua nauli kwenda senegal sudan na nk. alfu waende huko wapigwe 10 bila.
TFF fanyeni kila linalowezekana leo Yanga ishinde kwa maslahi mapana ya Taifaa
wako mtiifu kwa ujenzi wa Taifa
Baraka bb simba damu
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
mimi ni simbwa damuHuyo mbumbumbu mwenzenu yaani aje kuomba kubebwa inakuingia akilini kweli?