Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Timu itakayocheza na kushinda ndo inayoenda,namungo ikishinda itaenda na tutaichangia maana ndo timu nzuri,hata tff inawazeka kuwasaidia hela za tikets
we ujawahi kuona timu ikibebwa mkuu kwa maslahi mapana ya taifa
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app