TFF ligi ijayo Sio lazima kila mchezo uanze saa kumi.

TFF ligi ijayo Sio lazima kila mchezo uanze saa kumi.

Tusiwalaumu TFF, je umeme wetu ni wa uwakika? Umeme Tanzania ni shida una katika katika muda wowote na bila taarifa. He tunamajenereta ya kutosha viwanja vyetu pindi umeme ukikata?

Kwani Chamazi wanatumia umeme kutoka wapi? Vp kuhusu Uwanja wa Amaani? Wakishindwa hili inabidi wakakodi 'akili' zilizofanikisha mpira kuchezwa usiku ktk viwanja vya Chamazi na Amaan Znz
 
Wazo zuri ila umeme upi wa tz halafu ndio jenereta hakuna rufaa zitakuwa kibao
 
Back
Top Bottom