TFF mara hii mmeshaichoka Simba?Lawama mnayoikwepa inaweza kuwa kubwa zaidi

ushawai kuona ligi gani mtu anafikisha viporo hadi mechi 10..

weka table za ligi za timu zote nane zilizofika robo fainali.. kisha tuone kama ligi za nchi nyingine zinaruhusu viporo.. kisa unacheza klab bingwa...
issue si viporo issue ni sababu ya viporo
sababu ni
1. kucheza mechi tatu kombe spoti pesa, isingecheza hizi maana viporo vitatu vingepungua
2. kucheza hadi fainali kombe la mapinduzi, bila hili kombe mechi nne zingekuwa zimechezwa , mpaka hapo viporo saba visingekuwepo
3. mechi nyingi za kimataifa zinazohusu timu kusafiri kuanzia , swaziland, Zambia, COngo, Misri, Algeria bila hizi viporo vingekuwepo?

ni vigumu timu iliyocheza mechi zote hizi ikawa na michezo sawa na timu zenu hizi za maneno maneno


viporo ni matokeo ya
1. mechi tatu sport pesa
2. mechi nne kombe la mapinduzi
3. mechi kumi za CAF
4. Wachezaji wetu wengi kuwa sehemu ya kikosi cha TAIFA STARS
 
Tatizo mnasahau haraka sana, Yanga alicheza mechi za ligi na Caf mfululizo, kiasikwamba alikua na majeruhi wengi. Haji Manara Povu lilikua likimtoka kwanini yanga ina ina viporo tena viporo vyenyewe vya mechi mbili au tatu. Sasa wao leo wana viporo vinafika Saba mbaka kumi. Kweli dunia inakwenda kasi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii iskupea wasiwasi mkuu. Si umeona juzi karibia wachezaji 7 first 11 hawakucheza na mtu kachezea 3. Hata tff wakisema simba wacheze kila siku haina noma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa maada ni mamluki katika soka, huu mchezo hauhitaji watu wa mfano wako
Yaani unatetea viporo kisa tuu timu yako ya Simba, hebu angalia epl kule atleast ujifunze, ninyi ndio mnasababisha hii ligi ikose mvuto, viporo zaidi ya 5 ni upopoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TFF haijaionea simba. Ni wakati mzuri wa Kocha awatumie wachezaji wanaokaa sana benchi. Achanganye wale ambao hawakucheza mechi ya Mbao mbona ushindi upo. (Dida, Kwasi, Gyan, Mlipili, Juuko, Mzamiru, Niyonzima, Ndemla, Salamba, Okwi na Mo)
kweli, achezehse hata kikosi cha pili, sisi wabongo tupo ka bamia, legelege mno, alafu wachezaji wengi wanapiga punyeto ndio manaa hawamudi kucheza mdaa mrefu.
 
Man U imecheza jumamosi na jana jumanne, kweli kupumzika ssiku bili tu.
ila uhalisia ni kwamba, mfano Simba ikichwza mwanza mechi moja na mechi inayofuata say ipo mtwara[ndanda] basi watasafiri kwa siku mbili, ukiweka na ile ya kupumzika ni siku tatu, ukiweka ile siku waliyocheza mechi ni siku nne, sasa hapo ndio maan tunakuwa na viporo.
ulaya wanatumia treni SGR, dakika 30 ushafika jiji lingine, hata uingereza na ufaransa ni masaa 5 ambayo kwa bongo ni Posta mpaka kibaha.

sisi tupambane na hali zetu, UKISEMA TANZANIA UMESEMA SIMBA NA SIMBA NDIO TANZANIA
 
ushawai kuona ligi gani mtu anafikisha viporo hadi mechi 10..

weka table za ligi za timu zote nane zilizofika robo fainali.. kisha tuone kama ligi za nchi nyingine zinaruhusu viporo.. kisa unacheza klab bingwa...
Mwaka juzi yanga ilikua na viporo 4 au 5 Manara pua zilimsimama mate yalimtoka kwa maneno,,,mbona wezetu wanacheza j'mosi wakati jumanne anacheza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna unailaum sana TFF?Kwan Simba ni timu ya Taifa mpka useme ni TFF iingilie Kati?
 
Je unaweza kufananisha jiografia, ukubwa na hali ya usafiri wa nchi hizo na Tanzania?
ushawai kuona ligi gani mtu anafikisha viporo hadi mechi 10..

weka table za ligi za timu zote nane zilizofika robo fainali.. kisha tuone kama ligi za nchi nyingine zinaruhusu viporo.. kisa unacheza klab bingwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…