TFF mara hii mmeshaichoka Simba?Lawama mnayoikwepa inaweza kuwa kubwa zaidi

kweli, achezehse hata kikosi cha pili, sisi wabongo tupo ka bamia, legelege mno, alafu wachezaji wengi wanapiga punyeto ndio manaa hawamudi kucheza mdaa mrefu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapiga punyeto!

Sent from Nokia 7 Plus
 
Mwaka juzi yanga ilikua na viporo 4 au 5 Manara pua zilimsimama mate yalimtoka kwa maneno,,,mbona wezetu wanacheza j'mosi wakati jumanne anacheza tena

Sent using Jamii Forums mobile app


Manara ni Afisa Habari wa Simba na Aliisemea Simba! Sasa Kuhusu Viporo Vya Simba ni Maamuzi Yenu Yanga Msemaji Wenu Kuvisemea au Kuto Visemea! Au unataka Manara awasemee?
Nyinyi mumeridhika ndiyo mukanyamaza, Lakini sisi hatukiridhika ndiyo tukasemea.
 
Hivi TFF inaweza kuhamasisha mashabiki wajae Kwa mkapa na wakafika hata mia tatu? TFF inaweza kuwapa fedha simba wakamsajili Zana coulbaly? Msaada wa TFF kwa vilabu unaufahamu?
Huyo jamaa ana chuki binafsi na klabu ya Simba
 
Ila manara ajielewi. Kunaclip povu lilimtoka kisa viporo vinne vya Yanga. Mazembe ana Odds ngapi niweke mzigo mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…