Mambo ya ngoswe yaachiwe ngoswe wenyewe waamue. TFF waisaidie yanga kumlipa Kakolanya arudi kikosini akaidakie club ili iendelee kufanya vizuri kwenye ligi na sio kuisaidia kufanya uchaguzi unaosababisha vurugu kwenye club
Mambo ya ngoswe yaachiwe ngoswe wenyewe waamue. TFF waisaidie yanga kumlipa Kakolanya arudi kikosini akaidakie club ili iendelee kufanya vizuri kwenye ligi na sio kuisaidia kufanya uchaguzi unaosababisha vurugu kwenye club
Kama tff sio mmiliki wa Yanga inawashwa na nini kutomtambua Manji kama mwenyekiti halali wa Yanga? Yanga haijawahi kulalamika kukosa mwenyekiti bali inalalamika kukosa pesa za kulipa wachezaji. Kama tff ina huruma na yanga ianzie Kwanza na haki za wachezaji wanaopiga miayo Kwa njaa. Sheria gani hiyo inayomlenga mtu mmoja Tu?we mwehu kweli,unaposema TFF iwasaidie Yanga kumlipa kokolanya kwani TFF ni mmiliki wa yanga?ombaomba fc
Azamu anafanya uchaguzi ili kutafuta nini mkuu, ile siyo timu ya wanachamaKwani simba na azam walipokua wanafanya uchaguzi ilikua ni kuipa nafasi yanga?
Sawa mkuu kwa hilo, ndiyo maana ninasema kipaumbele cha Yanga kwa sasa ni mawazo kama hayo yatakayoikwamua Yanga kwenye hali ya ukata iliyonayo sio kutafuta Mwenyekiti kama TFF/BMT wanavyoishauri Yanga. Kwa mujibu wa wana-Yanga wenyewe kwenye mikutano yao ya kikatiba walikubaliana kuendelea na mwenyekiti wao aliyetaka kujiuzulu kutokana na sababu ambazo ziko wazi (obvious) kwa watu wote ndani na nje ya nchi. Shida iko wapi hapo? Ndiyo maana tunasema inawezekana hii ikawa namna ingine ya kuidhoofisha Yanga nje na ndani ya uwanja kwa kupitia uchaguzi wa lazima usiokukuwa na baraka za wanachama wa Yanga.Kuna Bosi mmoja mwaka fulani aliwashauri vizuri sana kuwa muunde Yanga Kampuni ili muende na wakati.
Ninyi mlikamtalia katakata na kuamua kumpiga mawe pale uwanja wa taifa wa ndani, mle mnamochezwa Basketball.
Mkajiita Yanga Asili.
Mzee akakasirika na kuondoka zake na kuapa kuwa hatothubutu tena kufanya ushirika wowote ule na ninyi.
Mnaona sasa madhara yake ?
Madhara ya kuziamini pesa za harakaharaka na kudharau mipango thabiti ?
Muungwana akikosea huchutama, nendeni mkamwangukie yule Mzee. Awape Baraka Zake.
Kima ilivyo kwa chama cha siasa lengo lao kuu ni kuingia madarakani kwa namna yoyote ile ndivyo ilivyo kwa club ya mpira wa miguu pia malengo yake makuu ni kushinda mechi zote uwanjani kwa njia yoyote ile (hata kwa bao la mkono) na kutwaa ubingwa. Yanga kwa sasa iko vizuri uwanjani ndio maana wapenzi, mashabiki na wanachama wa Yanga wanaridhika na hali ilivyo sasa ya uongozi. Kuna maana gani timu kuwa na uongozi imara lakini timu haipati matokeo uwanjani?Unataka muachiwe yanga yenu,haya tff wapeni wanachama yanga yao bila shaka watakuwa na ligi yao pia maana hawataki la mwadhini wala mnadi swala
Kanuni za ligi zinasemaje mkuu?Kima ilivyo kwa chama cha siasa lengo lao kuu ni kuingia madarakani kwa namna yoyote ile ndivyo ilivyo kwa club ya mpira wa miguu pia malengo yake makuu ni kushinda mechi zote uwanjani kwa njia yoyote ile (hata kwa bao la mkono) na kutwaa ubingwa. Yanga kwa sasa iko vizuri uwanjani ndio maana wapenzi, mashabiki na wanachama wa Yanga wanaridhika na hali ilivyo sasa ya uongozi. Kuna maana gani timu kuwa na uongozi imara lakini timu haipati matokeo uwanjani?
Hatuhitaji viongozi tunahitaji matokeo ya uwanjani kama ilivyo sasa ndani ya Yanga. Labda mtu atuonyeshe uhusiano (relationship) utakaokuwepo kati ya viongozi wapya watakaochaguliwa hapo January na upatikanaji wa fedha za kuiendesha club ya Yanga, vinginevyo wanachama wa Yanga walio wengi wanadhani uchaguzi kwa sasa sio kipaumbele chao. Wao wanaona vurugu zaidi kuliko mshikamano ndani ya klabu yao.
Na msemaji mkuu mnyassa.TFF ina Rais Msomali. Katibu Mkuu ni Mrundi. Mwenyekiti wa Kamati ya vifungo vya maisha ni Mzanzibar.
Watanganyika tumelogwa.
tifu tifu ya msomali.Kati ya TFF na wanachama wa Yanga ni nani mwenye timu? ni nani mwenye uchungu na timu?
Yanga kwa sasa ina shida ya pesa na mdhamini lakini sio Mwenyekiti wala viongozi. Timu ya Yanga kipaumbele chake kwasasa sio uchaguzi bali pesa.
TFF iisaidie Yanga namna ya kupata pesa na mdhamini mwenye hela kama mo ili kuwalipa wachezaji wa Yanga.
Timu ya Yanga iko vizuri uwanjani hawahitaji uchaguzi utakaosababisha yanga kufanya vibaya na kutoa nafasi kwa Simba na Azam (ni ndugu hawa) kitendo ambacho kitatafsiriwa na wadau wa Yanga kama mkakati wa kuidhoofisha Yanga uwanjani ili kuzipatia nafuu Simba na Azam kwenye ligi.
Itaonekana kama vile TFF inawaongezea nguvu wachezaji na mashabiki wa Simba na Azam uwanjani ili wapate matokeo.
Yanga waachwe wenyewe watafute njia na wakati mwafaka wa kufanya uchaguzi wao, maana kama ukiitisha mkutano mkuu leo wa wanachama wa Yanga uchaguzi wa Januari hautakuwa kipaumbele chao kwasaababu hawaoni uhusiano wa moja kwa moja kati uchaguzi huo na kupata pesa za kuendesha club yao.
Mbumbumbu FC.we mwehu kweli,unaposema TFF iwasaidie Yanga kumlipa kokolanya kwani TFF ni mmiliki wa yanga?ombaomba fc
Ona sasa. Hivi kuna Mbongo pale?Na msemaji mkuu mnyassa.