TFF mchezaji wa 13 Simba?

sio FIFA tu lakini linaweza pia kuchukua sura ya kisiasa
 
Mambo ya ngoswe yaachiwe ngoswe wenyewe waamue. TFF waisaidie yanga kumlipa Kakolanya arudi kikosini akaidakie club ili iendelee kufanya vizuri kwenye ligi na sio kuisaidia kufanya uchaguzi unaosababisha vurugu kwenye club



Tff ndo ilimsajiri Beno akaichezee yanga au ,hueleweki
 
Kwasasa huo ndio msaada pekee Yanga inahitaji na sio kusaidiwa kufanya uchaguzi.

Wawasaidie kifedha au hivi huyo beno nae anawatu wanamtegemea ndomana anaona mpira ndo ajira yake mlipeni fedha yake
 
Wawasaidie kifedha au hivi huyo beno nae anawatu wanamtegemea ndomana anaona mpira ndo ajira yake mlipeni fedha yake
Aaaa! Beno nae hasomi alama za nyakati, kazi yake ya ugolikipa ni kazi takatifu haitaki vitendo kama hivyo alivyofanya.
Hakuna timu makini duniani itapenda golikipa mwenye historia ya tabia kama hiyo ya kugoma anapokuwa na shida hasa ya kifedha. Hii ina maana kuwa golikipa kama Beno ana uwezo wa kuchukua fedha kutoka timu pinzani na kuiuza mechi.

Aliyemshauri Beno kufanya hivyo alikosea sana kupita kiasi. Beno hataaminika pahala popote duniani kucheza kama golikipa, maana hawatajua akikasirishwa na uongozi atachukuwa hatua gani kama sehemu suluhisho ya shida yake.
 

Kwani Beno alisajiliwa yanga kwa mahaba Na timu au alichagua mpira ndo kazi yake

Acheni kuleta hoja mbovu mpeni kijana wa watu haki yake
 
Hizo zote ni mbwembwe na malalamiko yasiyo ya msingi. Kama suala la uchaguzi lipo kisheria, sisi Yanga hatuna budi kufanya uchaguzi. Mengineyo ni udumavu wa ufahamu na mihemuko ya ushabiki tu. Tufanyeni uchaguzi kama uko kisheria mambo yapute.
 
Mbona tff na bmt hawaongelei sheria kuhusu sababu na namna mwenyekiti wa Yanga alivyopata msukosuko ulisababisha ajiuzulu?
Diluted brain!!!

Unatuaibisha wana Yanga wenzako! Unawapa watu njia ya kutufedhuli kwa akili za namna hii. Natafuta namna ya kujificha humu jukwaani nashindwa kwa upupu wako.
 
Kwani Beno alisajiliwa yanga kwa mahaba Na timu au alichagua mpira ndo kazi yake

Acheni kuleta hoja mbovu mpeni kijana wa watu haki yake
Nani hataki kumlipa Beno? Yanga haina hela, sababu za hili hata Beno anazifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…